Butembo veut remuer ciel et terre pour l’échec du projet PPRD.
Kazi ya maombi kwa ajili ya amani ya Beni pa butembo kunako rond point VGH mchana yote tangu 9h hadi 17h
Watu wote ,dini zote na couche zote wakivaa couleur noir walichinda pale wakikaa chini ku goudron wakimliliya Mungu.
👍🏿🙌🏿👌🏿🙏🏿👏🏿
Mungu atasikia mlio yao !