Kusahau wanawake ni kosa.


· clip_image001

Uzele Ucama Charles

Kusahau wanawake ni kosa.

clip_image002

BBC Swahili

HOJA YA WANAWAKE KATIKA SIASA:
Wanawake wa Kenya wanasema kuwa bado wanahisi nafasi ni finyu mno kwao katika nyanja za kisiasa, hawapewi fursa ya kutosha, hawashirikishwi vyema, yaani wanaume ni wana choyo kingi katika siasa. Wiki iliyopita mwanamke aliyekuwa anagombea nafasi ya uwakilishi katika mtaa mmoja Nairobi alijeruhiwa vibaya wakati akitafuta kura, mwingine alitumiwa mpira wa Condom kwenye bahasha kama ishara ya kumtisha ili asiendelee na azma yake ya kugombea…..
JE UNADHANI WANAWAKE WANANYIMWA FURSA KISIASA AU WENYEWE HAWANA UWEZO TU?

clip_image003

Graphèle Paluku-Atoka Uwekomu Cette question du genre a son importance en ce qu’elle distrait beaucoup de peuples.
L’autorité de la femme reste faible chez tous les peuples de la terre ou presque. Les femmes, pour être égales aux hommes, doivent fournir leurs preuves.
Là où les hommes les a hissées de force, comme en Occident et même dans certains pays africains, le résultat est éloquent ! Il suffit d’observer pour se faire sa propre opinion en connaissance de cause.
Si les femmes kenyanes veulent porter des pantalons, pourquoi et comment le leur interdirions-nous ?

Bottom of Form